Uingereza imeweka vikwazo kwa kampuni nane za Israel na kundi la wanaharakati kuhusu makazi ya Ukingo wa Magharibi wa Yordani na kuzuia misaada kwenda Gaza.