Shirika la chakula la Umoja wa Mataifa limeonya Ijumaa kuwa njaa itazidi kuwa mbaya katika maeneo 16 katika miezi sita ijayo.